Tuesday, October 8, 2013
WATU WENYE ALBINISIM NI WATU KAMA WATU WENGINE,YAANI KAMA WEWE NA MIMI TULIVYO NDIVYO WALOVYO.BMCC INASEMA KUWA HAWA WATU MUNGU ANAWATHAMINI SANA NA AMEWAPENDELEA KWA KIWANGO CHA JUU SANA .KWANI WAMEPEWA VIPAWA VYA HALI YA JUU KAMA VILE UFAHAMU WA KUELEWA,KUFIKIRI PAMOJA NA VIPAJI MBALIMBALI HIVYO USIWANYANYAPAE UWAONAPO HUKO MTAANI.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment