Saturday, September 28, 2013

KUKUTANIKA KATIKA VIKUNDI NA KUOMBEANA NI JAMBO MUHIMU SANA KAMA UNAVYO ONA HAPO.  HUO NI UMOJA NA MSHIKAMANO WA KIMUNGU UNAOWALETA WATU PAMOJA.KILA SEKSHENI  ILI UNGANA KWA PAMOJA KATIKA KUOMBE SEKSHENI YAO KATIKA KONGAMANO LA UANAFUNZI NA MAAINDIKO  LA JIMBO LA MWANZA LILILOFANYIKA KATIKA  KANISA TAG, BMCC-NYEGEZI MWANZA TAREHE 04/09/2013
Huu ulikuwa wakati wakufanya maombi kila moja alijimimina mbele za Mungu wake  wakati wa kongamano hilo

No comments:

Post a Comment