Huyu ni mchungaji mwenza wa kanisa la BMCC jina lake anaitwa pastor ELICKQUON
ndiye anaye saidiana na pastor MBUKE
Huyu ni mzee wa kanisa la BMCC anaitwa mzee DANGENI.Ni mzee makini na mwenye kujituma pia anafanya kazi zake kwa uaminifu kabisa vile vile ni mkurugenzi wa umisheni.Anapatikana hapa kanisani.
No comments:
Post a Comment