Tuesday, October 8, 2013

  1. Huyu ni mchungaji akiwa na hawa watoto wenye albnizim .Hapa anaonyesha upendo wake kwao .maana hawa watoto wana taman sana kupata malezi ya Baba na mama.ikitokea mtu akaenda kuwaona  mwenye sifa na hadhi ya kuwa baba au mama wanajisikia vizuri sana .Hawa watoto wanatamani sana kupata haya malezi ya baba na mama kwani mara nyingi wanapofunga likizo wao hawaendi majumbani mwao kwa sababu ya kuhofia  maisha yao .Hivyo wanakosa mambo mengi sana .kam vile kubadilisha mazingira pia hali ya hewa.
Wapo watu wengi wenye hali hii kama jinsi unavyo ona napo chini,Huyu na dada mwenye albinisim na anaitwa LUTHI yeye anakubaliana na hali ahalisi ya hali yake hawezi kuibadilisha na anamshukuru mungu kwa kumuomba.
Watoto hawa wana vipaji sana hata kuwazidi watoto wa kawaida hivyo mzazi kama imetokea ukazaa mtoto wa jinsi hiyo sio wakati wa kunung'unika mshukuru mungu anza kumtunza .

HAWA NI BAADHI YA WASHIRIKA KUTOKA KWA MCHUNGAJI MBUKE WAKIWA KATIKA KITUO KIMOJA AMBACHO WANAPATIKANA HAWA WATOTO NACHO NA JELLYS SCHOOL.

No comments:

Post a Comment