Beacon Mission Christian Center

BMCC

▼

Tuesday, October 8, 2013

WATU WENYE ALBINISIM NI WATU KAMA WATU WENGINE,YAANI KAMA WEWE NA MIMI  TULIVYO NDIVYO WALOVYO.BMCC INASEMA KUWA HAWA WATU MUNGU ANAWATHAMINI SANA NA AMEWAPENDELEA KWA KIWANGO CHA JUU SANA .KWANI WAMEPEWA VIPAWA VYA HALI YA JUU KAMA VILE UFAHAMU WA KUELEWA,KUFIKIRI PAMOJA NA VIPAJI MBALIMBALI HIVYO USIWANYANYAPAE UWAONAPO HUKO MTAANI.

Unknown at 6:25 AM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version
Powered by Blogger.